Kuna rafiki yangu mmoja katika maongezi tukaongelea kuhusu muonekano wa vishimo hivyo vya nyuma ya mgongo na akanambia kwa mila zao wanaamini ukiwa na vishimo hivyo mwanamke basi hautapata matatizo wakati wa uzazi, kwa imani yake. Sasa turudi katika mada husika,nikiongelea Dimples simaanishi Ommy Msanii Bali dimples kama Dimples au tunaita vishimo, wengi wetu tuna vifahamu vile vilivyopo kwenye mashavu ya watu ila, leo naongelea Dimples Katika Kiuno juu kidogo ya makalio.
Dimples hizi au vishimo huwa kwa watu wa jinsia zote wanawake na kwa baadhi ya wanaume, zinatambulika kama “Dimples of Venus” pia zinapewa majina mengine mengi inategemea na jamii Fulani za watu, kwa wengine hii ni ishara ya urembo ila kwa jamii zingine wanaona tu kawaida kama watu wengine.
Kitu kingine Mtu akiwa na vishimo hivi ni dalili pia za afya bora yaani huna uzito uliopitiliza wala kuna manyama uzembe hii pia inatokana na aina ya mifupa yako mwilini, (Born structure) kila mtu anajinsi yake mifupa inakaa katika mwili wake. kwahiyo wengine husema watu wenye vishimo (Dimples) hizo ni watu wa pekee (special).
- by Rabiadamary.

Kitu usichojua juu ya dimples au vishimo hivyo ni vitu vya kurithi hii ikiwa na maana kama jamii yako au ukoo wako hauna hivyo vishimo basi huwezi tu kuvipata kiraisi, kama haipo katika vina saba (genes) zako basi si vya kutengeneza japokuwa wanasema unaweza fanya mazoezi kupata vishimo kama hivyo.
Labda niongelee maana ya vishimo hivi kitu cha kwanza ni Mvuto/Urembo Baadhi ya watu wanaamini kuwa ukiwa na vishimo hivyo unakuwa na mvuto hasa wa kimapenzi na kwa wanawake wenye vishimo hivi kuwa wazuri pia faragha yaani wanayaelewa mambo, wapo wanaume wanaosema wanavutiwa na vishimo hivyo hasa wakiwa faragha.
Kitu kingine Mtu akiwa na vishimo hivi ni dalili pia za afya bora yaani huna uzito uliopitiliza wala kuna manyama uzembe hii pia inatokana na aina ya mifupa yako mwilini, (Born structure) kila mtu anajinsi yake mifupa inakaa katika mwili wake. kwahiyo wengine husema watu wenye vishimo (Dimples) hizo ni watu wa pekee (special).
- by Rabiadamary.
ConversionConversion EmoticonEmoticon