Audio | Peter Msechu X Banana Zororo - Mama




Peter Msechu ni mwimbaji wa bongofleva ambaye headlines zake zilianzia kwenye BSS, kisha PROJECT FAME na baadae akarudi kwenye mzunguko wa bongofleva, sasa good news ni kwamba star huyo ameungana na Banana Zorro kutuletea hii single yao mpya iitwayo Mama.

Unaweza ukabonyeza HAPA ukishamaliza kuisikiliza utuachie na comment yako mtu wa nguvu
Previous
Next Post »