Wema sepetu: Natamani nikutane na Diamond tuyamalize, ila...


Nani ambaye alikuwa hayajui mahusiano ya Wema Sepetu na Diamond? Hakuna ila yalikuja yakazima ghafla kama mwanga wa mshumaa, kila mtu akaendelea na maisha yake lakini vita ya mashabiki wao haijaisha kiasi cha wao wenyewe kushindwa hata kupeana support.
Hali hiyo imemchosha mwanadada, Wema Sepetu ambaye ameamua kutoa ya moyoni, amesema anatamani kuonana na Diamond wazungumze wamalize tofauti zao.
“Na nnatamani, one day tuweze hata tuka kaa hivi tukaongea nikamwambia bwana embu tuondokane na mambo haya yote whatever it is me nitakusupport, wewe ukinisupport wala usiponisupport sababu yule naye mswahili sana”  Wema Sepetu alifunguka
Previous
Next Post »