AUDIO: Madhara ya kunywa vinywaji vya moto kupindukia


Utafiti umetolewa na jarida la kitabibu ambao uliendeshwa na wanasayansi 23 chini ya taasisi ya kimataifa ya utafiti wa saratani ya shirika la afya Duniani ‘WHO‘.
Wanasayansi hao walitakiwa kuangalia uwezekano wa kahawa na vinjwaji vingine vya moto sana iwapo vinaweza kusababisha saratani, matokeo ya utafiti huo ni kwamba unywaji wa vimiminika vyenye moto kupindukia vinaweza kusababisha saratani ya njia ya kusafirisha chakula kutoka kooni hadi tumboni.

-By 
Previous
Next Post »