Waziri Mwijage azungumzia hali ya uzalishaji wa sukari nchini



Ishu ya uhaba wa sukari imekuwa kwenye headlines kwa muda sasa, millardayo.comimezungumza na Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage ambapo ameeleza hali ya uzalishaji wa sukari kwenye viwanda vya ndani ilivyo kwa sasa...

>>>’Hali ya uzalishaji wa viwanda, Kagera Sugar ilianza May 18 na ilianza kuzalisha tani 150 kwa siku ambapo imeongezeka na imeshafikia tani 200 kwa siku, Kilombero Sugar imeshaanza inazalisha tani 230 kwa siku na tunategemea itafikia tani 500 kwa siku’
>>>’TPC inategemewa kuanza June 18 kwa sababu ndio inaanza inategemewa kuzalisha tani 150 kwa siku, itakapokuwa imestablize zoezi la kuchuka kama siku 15 itakuwa inazalisha tani 400 kwa siku na ifikapo mwisho wa mwezi wa saba Mtibwa itaanza kazi’.

By 


Previous
Next Post »