Barcelona wamekubali kulipa € 5.5 million kama faini juu ya makosa ya kukwepa kodi kwenye mkataba wa Neymar kutoka Santos mwaka 2013.
Waendesha mashitaka wa Hispania waliomba Neymar kuhudhuria mahakamani kujibu tuhuma za udanganyifu wa kodi yeye na baba yake ambaye pia ni wakala wake. Lakini Barcelona imeamua kumaliza mgogoro huo kwa kulipa faini.
Barcelona ilidai kutoa kiasi cha ada ya € milioni 57 na € 17 milioni kwenda Santos na zingine kwa wazazi wa Neymar. Baada ya uchunguzi ilibainika kuwa Barcelona ilitoa kiasi cha € 83milioni kama gharama halisi ya uhamisho wa Neymar .
-Mtembezi
ConversionConversion EmoticonEmoticon