Katika kipindi cha maswali na majibu bungeni June 14 2016 nakukutanisha na majibu ya Waziri Jenista Mhagama na Naibu wake Antony Mavunde waliposimama kujibu swali la Mbunge wa viti maalum CCM Catherine Magige aliyehoji tatizo la vijana wa Arushakutumiwa kuandamana huku wakikosa ajira.
- By Msombe TZA
ConversionConversion EmoticonEmoticon