Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Hawa Ghasia akataa wabunge kukatwa kodi ktk kiinua mgongo


Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti Hawa Ghasia amedai kuwa kuwakata kodi kwenye viinua mgongo ni kuwakata kodi mara mbili kwa kuwa wanakatwa kodi tayari kwenye mishahara yao na ametaka serikali kufikiria tena suala hilo.

Previous
Next Post »