Baada ya headlines za muda mrefu kuhusu kiungo wa klabu ya Dar es Salaam Young Africans Salum Telela kuhusishwa kuachwa na klabu hiyo, huku mitandao mingine ikiandika kuwa staa huyo kiraka ameachwa.
“Ni kweli mkataba wa Salum Telela na Yanga umemalizika, hivyo yupo huru kuongea na klbu yoyote nyingine au hata Yanga, ili kuangalia kama kuna uwezekano wa kuongeza ila maamuzi yapo mikoni mwake” - Jerry Muro.
-
ConversionConversion EmoticonEmoticon