June 13 2016 Naibu waziri wa kilimo,mifugo na uvuvi William Olenasha amesimama bungeni kujibu swali la Mbunge viti maalum CCM Fakharia Khamis aliyetaka kujua ni kwanini askari hawatimizi wajibu wao wa heshima za salute ikiwemo kwa wabunge.
‘Askari yeyote atakaepatikana na kosa la kutotimiza matakwa hayo huchukuliwa hatua za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kukatwa mshahara, adhabu ya kutoondoka kambini, adhabu ya kufanya usafi kambini‘-Naibu Waziri William Olenasha
-By Msombe TZA
ConversionConversion EmoticonEmoticon