VIDEO: Headlines za Madee kwenye sakata la kukimbizwa na Polisi……


NI June 29, 2016 ambapo msanii wa Bongofleva, Madee amefunguka kuhusu sakata la kukimbizwa na polisi wakati akiwa kwenye hifadhi ya wanyama huko Mikumi.
Akizungumza na Ayo TV alisema.....’Tulikuwa tuko mbugani bahati mbaya tukakutana na gari la kawaida lakini hatukujua kama ni gari la polisi wao walikuwa na altezza sisi tulikuwa na harrier luxury tulikimbizana mpaka tunakaribia kumaliza mbuga, basi tukasema ngoja tushuke ile tunashuka wakaja mbele yetu mara wakashuka askari kiukweli tulikuwa hatujui kama ni askari ila tuliongea nao mpaka wakaamua tupelekane kituoni’– Madee
Previous
Next Post »