VIDEO| Moja ya viongozi madikteta nchini ni pamoja na Mbowe - Mbunge Lusinde



Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde alipata nafasi ya kuchangia katika bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017, moja ya vitu ambavyo alivipa kipaumbele katika mjadala wake ni pamoja na kitendo cha wabunge wa upinzani kuendelea kutoka nje ya bunge kuonyesha kutokuwa na imani na naibu spika Dk. Tulia Ackson .
By 

ConversionConversion EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng