Video: Payet mkali wa kupiga faulo anayezitoa udenda timu kubwa Ulaya



Frolent Dimitri Payet (29) ni mchezaji wa timu ya ligi kuu ya Uingereza, West Ham United aliyezaliwa nchini Ufaransa kwenye visiwa vya Saint-Pierre mwenye uwezo mkubwa wa kufunga kwa kupitia mipira ya faulo.


Mpaka sasa ameshafanikiwa kucheza mechi 30 akiwa na timu yake ya West Ham United na kuifunga magoli tisa na pia amechezea timu ya taifa ya Ufaransa mechi 20 na kuifungia magoli manne.


Japo amechezea msimu mmoja timu yake ya West Ham lakini Payet ameonekana kuvitoa udenda vilabu vikubwa vya Ulaya kutokana na kipaji pamoja na uwezo wake aliokuwa nao anapokuwa uwanjani hasa kwenye kupiga mipira iliyokufa.

ConversionConversion EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng