VIDEO: Stand United wametangaza kuishitaki TFF


Najua ni siku ya pili toka Dk Jonas Benedict Tiboroha athibitishe kujiunga na uongozi waStand United kama mshauri wa benchi la ufundi, Dk Tiboroha ametangaza kuandika barua yenye page 22 kuishitaki TFFkatika shirikisho la soka ulimwenguni FIFA.



20160616_230438

Sehemu ya barua iliyoandikwa na Stand United na kutumwa FIFA
“Kuhusu kambi mbili zilizotangaza kufanya uchaguzi wa Stand United, sisi kama Stand United tumeamua kuandika barua yenye kurasa 22 na kuituma FIFA kuishitaki TFF kwa kushindwa kutoa muongozo wowote katika masuala yanayoendelea ina maana wameshindwa kutatua mgogoro kutumia uongozi wao”
By 


Previous
Next Post »