VIDEO: Wabunge wa UKAWA wametoka bungeni kwa style mpya ya kuziba midomo



June 20 2016 headline imeandikwa bungeni kwa baadhi ya wabunge wa upinzani kuamua kutoka nje ya bunge kwa style ya kuziba midomo. Hii ni kuonyesha mwendelezo wa kutokuwa na imani na naibu spika Dk. Tulia Ackson

Nje ya bunge mbunge wa Vunjo James Mbatia amesema..>>’Ni kwamba serikali inaipasua nchi, hatukushiriki bajeti yao na tutawashitaki kwa watanzania , na kuhusu mikutano tutaifanya bila wasiwasi‘

Previous
Next Post »