Sio ajabu kukutana na reaction ambayo sio mbaya kutoka kwa mwimbaji staa wa dunia Chris Brown pale anaposikia ukichezwa mbele yake wimbo wowote wa mpenzi wake wa zamani Rihann sababu alishasema ana-love na Rihanna na anamuheshimu.
hii video ilinaswa akiwa kwenye club moja ya usiku.
ConversionConversion EmoticonEmoticon