Diva amuongeza Chemical na rappers wengine wanne kwenye remix ya Baby Boy


Version ya kwanza iliyokuwa na Mr Blue na Bill Nas ilikuwa ni kwaajili ya mtandaoni peke yake.
“Chemical atafungua verse ya kwanza this time, yeye ndio ataanza,” amesema Diva.
“The remix is way better, so billnass atasikika pia, Mr Blue and wengine ambao ni wakubwa but surprise,” ameongeza.
Pia Diva amesema amemaliza tofauti yake na Bill Nas.


“We good right now.. aliapologize .. guess magazeti nayo wachonganishi, so we agreed he is gonna kill with a killer verse.”
Newest
Previous
Next Post »