Mchekeshaji wa Kenya kairudia ‘zigo remix’ ya Ay na Diamond na kuifanyia hii video


Tabia ya Wachekeshaji wa Kenya kurudia nyimbo za bongofleva kwa njia ya kuchekesha sio tabia ngeni, Erick Omondi ni miongoni mwa waliofanya hivyo hivyo kwa nyimba za Diamond, sasa ni zamu ya zigo remix kutoka kwa Kajairo.

Previous
Next Post »