Mourinho afanya usajili wake wa kwanza kwa Bailly


Timu ya Manchester United imekamilisha usajili ya beki, Eric Bertrand Bailly kutoka Villarreal kwa mkataba wa miaka minne wa dau la paundi milioni 30.

Baada ya kutangazwa rasmi kuwa mchezaji wa timu hiyo, Bailly alisema, “It is a dream come true to be joining Manchester United. To play football at the highest level is all I have ever wanted to do. “I want to progress to be the best that I can be and I believe working with Jose Mourinho will help me develop in the right way and at the right club. I am looking forward to meeting my new team-mates and to starting this new chapter of my life.”
Naye kocha mpya wa timu hiyo Jose Mourinho amesema, “Eric is a young central defender with great natural talent. He has progressed well to date and has the potential to become one of the best around. “We look forward to working with him to help nurture that raw talent and fulfil his potential. Eric is at the right club to continue his development.”
Usajili huo umekuwa wa kwanza kwa kocha Jose Mourinho tangu alipotangazwa rasmi kuwa kocha wa timu hiyo wiki mbili zilizopita.
Previous
Next Post »