Kwa miaka yote Tanzania imemjua kupitia show ya Bongo Star Search akiwa kama Jaji ambayo mara yake ya mwisho ilikua inaonekana kupitia CloudsTV, leo hii Madame Rita anayofuraha kuwaambia Watanzania kwamba anaingia na kwenye utangazaji.
Show hiyo mpya ya Rita Paulsen ambayo itaanza kuonekana soon kwenye AzamTVinaitwa Rita Paulsen Show au RPS na June 12 2016 ndio imetajwa kuwa terehe yenyewe.
ConversionConversion EmoticonEmoticon