Video: Master J asema zamani bei ya kurekodi wimbo ilikuwa tsh 1 milioni lakini sasa hivi ni tsh 30,000




Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini, Master J amesema soko la watayarishaji wa muziki nchini limeshuka ambapo zamani amedai walikuwa wanarekodi wimbo mmoja kwa tsh 1 milioni tofauti na sasa ambapo amedai ngoma moja inarekodiwa kwa tsh 30,000.


Akiongea na Bongo5 wiki hii, Master J amesema hali hiyo imefanya maisha ya watayarishaji wengi wa muziki kuwa chini.


“Sisi tulianza kwa kulipwa tsh 5,000, 10,000 mpaka tukafikisha tsh milioni 1 kwa kila nyimbo lakini sasa hivi nasikia bei zimeshuka mpaka 60,000,” alisema Master J.


Aliongeza, “Kwam hiyo kwa maproducer game siyo zuri lakini kwa wasanii game zuri sana. Wakati sisi wakati ule tulianza kwa tsh 5000, 10000 mpaka sasa hivi ni tsh 30,000 maana tsh 60,000 nawapendelea,”





-bongo5
Previous
Next Post »