Ni June 11, 2016 ambapo mtayarishaji wa muziki wa Bongo Fleva kutoka AM Records,Manecky amezimiliki headlines baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake wa longtime aitwae Lilian ambaye wana mtoto mmoja wa kiume.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka ukumbini ambapo tukio lilipofanyika
ConversionConversion EmoticonEmoticon