Rais Magufuli kapata mbadala wa Charles Kitwanga wizara ya mambo ya ndani

June 11 2016 taarifa kutoka Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu Dar es Salaam imetoa taarifa kuhusu maamuzi ya Rais John Pombe Magufuli kumteua mbunge wa Buchosa Dk Charles John Tizbe kuwa waziri wa kilimo na mifugo na kumuamisha waziri Mwigulu Nchemba kuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi kurithi nafasi ya Charles Kitwanga.


charlea
Previous
Next Post »