Hii ndio couple ya watu wafupi iliyovunja rekodi duniani.



Mtu wangu najua umeshaona couple nyingi duniani zenye kukuvutia na nyingine za kufurahisha, Leo June 11 2016 nimekusogezea picha tisa za couple ya watu wafupi duniani, zikiwaonyesha katika maisha yao ya kila siku, usisahau kuniachia comment yako hapa kuhusu couple hii.



Couple hii ni kutoka nchini Brazil ya Paulo Gabriel da Silva Barros miaka 30 na mchumba wake Katyucia Hoshino miaka 26 ambao wameingia katika kitabu cha kuvunja record duniani wakidai kua walikutana kwenye mtandao wa kijamii miaka kumi iliopita nakuanza mahusiano hayo.

Previous
Next Post »