Video: Chris Brown na Wizkid wakiimba wimbo wao mpya kwenye show ya Amsterdam


Wikiendi iliyoisha Chris Brown na Wizkid waliendelea kufanya show ya pamoja kwenye ukumbi wa Ziggo Dome huko Amsterdam.

Kwenye show hiyo wawili hao waliimba kwa mara ya kwanza wimbo wao mpya ‘African Bad Girl’ ambao umetayarishwa na Sarz. Chris Brow amemchagua Wizkid kuzunguka naye kwenye ziara yake ya ‘One Hell of a Nite Tour 2016’ huku wakiwa wameanza ziara hiyo ya pamoja kwenye nchi ya Uingereza wiki iliyopita.

Kwa sasa nyota ya Wizkid imeonekana kung’ara zaidi baada ya wimbo alioshirikishwa na Drake ‘One Dance’ kuvunja rekodi kwenye Billboard Top 100.

-bongo5

ConversionConversion EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng