T.I. aajiri strippers 100 kwenye klabu yake ya Atlanta


Rapper T.I. na mfanyabiashara mwenzake Damon Cobbs wanafungia kiota chao cha strippers mjini Atlanta mapema mwaka huu.

Kwa mujibu wa TMZ, wawili hao wameajiri strippers 100.

T.I. anajulikana kwa jinsi anavyomwaga hela kwenye vilabu vya aina hiyo hivyo si jambo la kushangaa kusikia akiajiri idadi hiyo kubwa ya wafanyakazi. Zaidi ya wanawake 1,600 walijitokeza kwa usaili kutafuta ajira hiyo.

Wanawake hao walionesha makalio yao na kurekodiwa kwenye camera.

Ni 100 tu kati ya 1,600 ndio waliopata kazi.

-Bongo5

ConversionConversion EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng