VIDEO: Mambo ya kufahamu baada ya kadi za UDART kuanza kutumika



Mfumo wa kadi maalumu za kielektroniki badala ya tiketi kwa abiria wa mabasi yaendayo haraka umeanza kutumika June 20 2016. Mfumo huu ambao utamuwezesha abiria kuweka fedha katika kadi hiyo kwa kutumia mitandao ya simu na utasaidia kupunguza msongamao katika vituo vya ukataji tiketi.

Meneja uhusiano wa UDART, Deus Bugaywa ameeleza kuhusu mfumo huo wa kadi na kusema kuwa …….

>>>Unapokwenda kununua kadi utapewa maelekezo ya namna ya kujisajili, kuna namba ya *152*22# ukipiga namba itakupa maelekezo, utachagua kwenye menu litatokea neno DART itakupa maelekezo kama unajisajili utatakiwa kujaza namba ya kadi, utajaza majina yako na utaweka namba yako ya siri.


Previous
Next Post »